iqna

IQNA

ayatullah ahmad khatami
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa, Siku ya Kimataifa ya Quds ni kumbukumbu ya Imam Khomeini (MA) na nembo ya kuwa hai tafa la Kiislamu la Iran.
Habari ID: 3476829    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/07

Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran, ameashiria hatua ya jarida moja la Ufaransa kumvunjia heshima Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu na kusema: Maadui wanataka kuzima nuru ya Uislamu lakini kwa neema ya Mwenyezi Mungu na nuru hii haiwezi kuzimwa kwa na ni wazi kuwa mzizi wa matusi haya ni uadui dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3476396    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/13

Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN(IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa leo hapa Tehran amevitaja vikosi vya usalama, jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) na kikosi cha jeshi la Basij kuwa nembo ya uwezo na nguvu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusema: kudhuru uwezo wa mfumo wa Kiislamu ni moja ya malengo ya waibua ghasia.
Habari ID: 3476109    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/18

Ayatullah Khatami katika Sala ya Ijumaa
IQNA: Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesisitiza kuwa, isingekuwepo misaada ya Iran, basi hadi kufikia sasa kundi la kigaidi la ISIS au Daesh lingekuwa limeziteka kikamilifu Iraq, Syria na Lebanon.
Habari ID: 3470876    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/03

Khatibu wa Sala ya Idul Adha Tehran
Khatibu wa Sala ya Idul Adha Tehran amesema watenda jinai katika ukoo wa Aal Saud wanapaswa kufikishwa mbele ya mahakama ya Kiislamu na kuadhibiwa kutokana na maafa ya Mina katika ibada ya Hija mwaka jana.
Habari ID: 3470560    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/12